Teya Salat

 IZONE COMMUNITY NEWZ UPDATE


Mike Tyson abadili jinsia

Written by  Is-hak Rashid Hadid

Mike Iron Tyson    BINGWA wa Dunia wa zamani wa ndondi Mike Iron Tyson amefanyiwa upasuaji wa kubadilisha jinsia ya kiume na kuwekea jinsia ya kike.
Akizungumzia upasuaji huo alisema kwamba ulifanikiwa kwa asilimia mia moja na kwa sasa anaendelea vizuri na matibabu.

Tyson alifanyiwa upasuaji huo katika Hospitali ya Beverley Hills ya nchini Marekani.

Akizungumza na Mwandishi wa mtandao wa kijamii wa newsbicuit Tyson alisema kwamba upasuaji huo umetimiza ndoto zake na kuanzia sasa atakuwa akiitwa Michelle.

“Watu wengine wanaweza kuona kwamba hiki ni kitu kigeni sana kwa kuwa hivi sasa mimi ni mwanamke, lakini ukweli ni kwamba hii ilikuwa ni moja ya ndoto nilizokuwa nayo siku nyingi kwamba ipo siku kabla sijafa lazima nibadili jinsia yangu na kuwa mwanamke na leo hii nimeitimiza alisema Tyoson”katika mahojiano yake na mtandao huo wa habari za kijamii.

Mike Tyson akimng'ata Evander Holyfield sikio Tyson alifanyiwa upasuaji huo saa 16 zilizopita na kuongeza kwamba “pamoja na kwamba nimewahi kuwa bondia mkubwa duniani na siku wahi kukubali kupoteza ushindi wangu kirahisi ila nilijuwa kuwa kuna siku nitakuwa na jinsia ya kike.
Iron Mike – ama Iron Maiden kama anavyopendwa kuitwa hivi sasa alianza kupotea katika ulingo wa ndondi duaniani baada ya kulalamikiwa na Bondia  Evander Holyfield kutokana na kitendo chake cha kumng’ata sikio, Katika pambano hilo Tyson alipigwa na baadaye mwamuzi wa pambano hilo Mitch Halpern kuamua kusitisha pambano katika raundi ya 11.

Hata hivyo Tyson aliwataka wamarekani kukubaliana na maamuzi yake hayo kwa sababu pia itamfanya awe mtu mzuri.

"Kama ningeendelea kubaki na jinsia yangu ya kiume wamarekani wasingekubali kwamba hivi sasa nimekuwa mtu mzuri mwenye tabia nzuri,lakini  nimeamua kubadilika ili kuwa mtu mzuri ndiyo maana nimebadili hadi jinsia yangu ingawa ilikuwa katika ndoto zangu tangu awali"alisema Tyson.

Habari hii imeandaliwa na is-hak rashid,kwa msaada wa mtandao


 


MIKE TYSON ABADILI JINSIA

IZONECOMMUNITY
Mike Tyson
,Bondia nguli wa zamani wa ngumi za uzito wa juu Mike 'Iron' Tyson amebadilisha jinsia yake na kuwa mwanamke na kubadili jina jina lake kuwa Michelle kwa mujibu wa gazeti la mtandaoni la The Standard upasuaji huo umefanyika katika moja ya hospitali huko beverly hills nchini Marekani.

Akinukuliwa na gazeti hilo  baada ya upasuaji huo ambao umedaiwa kwenda kwa mafanikio Tyson amesema anajisikia furaha kubadili jinsia na alikuwa na ndoto y kuwa mwanamke tangu alipokuwa bondia wa uzito wa juu duniani, "Watu wengine watashangaa kwamba nimekuwa mwanamke,lakini hata kabla sijastaafu ngumi nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanamke" alisema Tyson ambaye amebadilishwa jinsia, sura na baadhi ya mifupa katika upasuaji uliodumu masaa 16,katika hospitali moja huko beverly hills nchini marekani.Katika moja ya mahojiano yake tyson alishawahi kusema kuwa atabadili jinsia ili wamarekani waaminikwamba yeye ni kijana mtukutu.

Hata hivyo habari picha za umbile na mwonekano wake baada ya kubadilisha jinsia hazijawekwa wazi na penginee nidicho dunia nzima inachosubiri kuthibitisha maajabu hayo.

 



Katika hali ya kustaajabisha kumekuwa na habari zikiendelea mtandaoni zikidai Mike Iron Tyson amefanyiwa upasuaji wa kubadili jinsia ambao ulichukua masaa 16. Mike anasemekana kufanya upasuaji huo uliojumuisha kubadili sehemu zake za siri, kubadili mfumo wa sauti na pia kuweka mfumo wa uzazi halisi wa mwanamke.
Taarifa hiyo pia inazidi kudai kuwa bondia huyo ambaye aliwahi kupewa nickname ya "The Baddest Man on the Planet" amedai kuwa anajisikia furaha hatimaye kuweza kupata mzunguko wa hedhi ambao alikuwa akiutamani kipindi alichokuwa mwanaume..

Hata hivyo pamoja na uvumi huu kuzagaa kila kona za mtandao, bado hakuna taarifa yoyote toka kwenye mitandao ya kuaminika. TMZ ambao ndo mtandao namba moja unaotoa habari za wasanii hauna taarifa hii, hata Global Grind haisema chochote achilia mbali vyombo vingine kama BBC, CNN, CBS nk.

 


 

Mike Tyson sex change operation ‘a complete success’, say surgeons

Former undisputed heavyweight boxing champion of the world Mike Tyson is said to be ‘feeling fine’ after undergoing successful gender reassignment surgery at a clinic near Beverley Hills. Once known as ‘The Baddest Man on the Planet’, the Brooklyn-born boxer told reporters that having his first menstrual cycle ‘would be a dream come true’, and that from now on he would be known as Michelle.

‘Some people might think it strange that I’m now a woman,’ said former rapist Tyson, who underwent complete facial feminization, orbital bone contouring and nasal surgery in an operation lasting over 16 hours. ‘But even at the height of my career, when pound for pound I was regarded as the best fighter in the world, I never lost touch with my feminine side and knew that one day I would grow breasts and have a vagina.’

Iron Mike – or Iron Maiden as he now likes to be called – was given the all-clear for gender reassignment surgery following a successful course in hormone replacement therapy which, in his autobiography, the boxer blamed for his 1996 defeat at the hands of Evander Holyfield. Although at the time Tyson insisted he was fit enough to carry on with the fight, referee Mitch Halpern stopped the bout in the 11th round saying Tyson looked flushed, was sweating profusely and appeared to be lactating heavily from his left breast.

Tyson, wearing a blonde wig and looking relaxed in blue jeans and a Vanessa Bruno T-shirt, today said he hoped having a clitoris would finally convince the American people that his ‘bad-boy’ days were over and he had turned over a new leaf. ‘I’m even keeping my surgically removed penis in a jar by my bedside to remind me what those sick perverts did to us pretty boys in prison.’

Although boxing commentators were initially stunned by Tyson’s revelation, many have admitted the signs were there. ‘In hindsight, he had shown a fondness for dressing up in gloves, long leather boots and silk gowns, and he always had a really close interest in earrings.’


 Powered by Izone